KUELEKEA UKOMO WA HEDHI (PERIMENOPAUSE)

Ukomo wa hedhi kwa mwanamke ni kipindi ambacho vichocheo vya uzazi hupungua kiasi kwamba hushindwa kufanya mwendelezo wa hedhi kwa mwanamke. Kabla ya kipindi hiki mwanamke hupitia katika hali ambazo huonekana kuwa na matatizo kiafya. Kabla ya  kufikia ukomo wa hedhi mwanamke huanza kwa kuonyesha viashiria vifuatavyo. 1.Hedhi isiyo na muda maalumu, yaani haieleweki. 2.Uke…

FEMALE REPRODUCTIVE SYSTEM DISORDERS

1. DYSMENORRHEA Dysmenorrhea is painful menstruation accompanied with: Abdominal distension,  Backache ,  Edema of ankles,  Noticeable polyuria;  Breast tenderness,  Mental irritability Signs and symptoms  Mild cramps beginning 12 – 24 hours before the onset of menstruation and become more acute with the flow. The cramp is located in the…

DIABETES MELLITUS

DIABETES MELLITUS Is a group of metabolic disease characterized by increased level of glucose in the blood results from defects in insulin secretion, insulin action or both. CLASSIFICATION OF DIABETES MELLITUS Diabetes mellitus is categorized into four types. 1) Type 1 Diabetes 2) Type 2 Diabetes 3. Diabetes mellitus associated with other conditions or syndromes….

MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA MKOJO

MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA MKOJO (URINARY TRACT INFECTIONS). Maambukizi haya husababishwa na bakteria wa aina mbalimbali, hata hivyo bacteria aina ya Escherichia coli ndiyo huungoza kwa kuleta UTI. Aina za UTI Zipo aina mbili ambazo zimetengwa kulingana na sehemu. 1. Maambukizi ya sehemu ya chini. Hii hushambulia sehemu kama mrija wa mkojo na wa kupitisha…

YAFAHAMU MADHARA YA KISUKARI

UGONJWA WA KISUKARI. Ugonjwa wa kisukari ni tatizo sugu linalotokana na matatizo yaliyopo kwenye mfumo wa utoaji vichocheo. Hata hivyo tatizo hili limeonekana kuwa kubwa na kuongezeka kutokana na sababu lukuki ambazo watu hushindwa kuziepuka. Kama lilivyo jina kisukari hutokana na  kuongezeka kwa  sukari kwenye damu kuzidi kiwango  cha kawaida kinachotakiwa kuwepo. Sukari inayopatikana kwenye…

RUDISHA HESHIMA NDANI YA NDOA.

DAWA ASILIA KWA MATIBABU YA NGUVU ZA KIUME. Hii ni dawa inayotokana na viumbe kama samaki na mimea. Sehemu kubwa ya dawa hii imeundwa na aina ya samaki aitwaye SYNGNATHUS. Huyu ni aina ya samaki anayepatikana baharini . Samaki huyu huvuliwa na kukaushwa vizuri hadi kufikia kutengeneza unga. Huyu ni samaki ambaye ameonekana kuwa na…

MTI WA GINKGO NA UMAHIRI WAKE JUU YA MAGONJWA

MTI WA GINKGO. Huu ni mti uliopatikana zaidi ya miaka 300 iliyopita. Mti huu haushambuliwi na magonjwa ya aina yoyote ile. Kutokana na hili hii umepewa jina la MTI MTAKATIFU WA MATUNDA(Holy fruit tree) katika jamii za mwanzo nchini China. Hutumika katika kutengenezea madawa, vipodozi, chakula na bidhaa zingine na kuleta matokeo makubwa. Baada ya…

MMEA WA GINSENG NA UFANISI WAKE DHIDI YA MAGONJWA

Ginseng ni mmea ambao umepewa jina la mfalme wa tiba za asili (King of herbs). Kitendo cha mmea huu kupewa jina hili kumetokana na ufanisi wake katika kutibu maradhi mbalimbali kwa usahihi. Mashamba makubwa ya mmea huu hupatika barani Asia, na dawa zake zimeonekana kwa wingi katika masoko  ya Amerika, kwani huchukua 15-20% ya dawa…

MAMBO MATANO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUBEBA UJAUZITO.

MAMBO MATANO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUBEBA UJAUZITO. Katika makala hii napenda leo ujifunze ewe msomaji jambo muhimu ambalo wengi huwa hawazingatii. Kupata mtoto ni maandalizi yatokayo pande zote namaanisha baba na mama. Hii itaepusha mambo mengi na kupata mtoto mwenye afya bora, kiumbo, kifikra na kijamii. Hebu yazingatie haya mambo matano kwani yatakuwa…

KUTOKWA NA DAMU NYINGI WAKATI WA HEDHI (MENORRHAGIA

KUTOKWA NA DAMU NYINGI WAKATI WA HEDHI (MENORRHAGIA). Hili ni taitizo ambalo huwakumba wanawake wengi katika nyakati tofautitofauti. Mwanamke hutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi pia inaweza kudumu kwa wiki moja na zaidi. Hali hii isipopatiwa ufumbuzi huweza kuleta madhara makubwa sana kwa mwanamke ambayo hupelekea vifo. Katika hali fulani sababu ya kutokwa na…

TATIZO LA KUKOSA USINGIZI

KUKOSA USINGIZI(INSOMNIA) Hii ni hali inayodumu kwa muda ambapo mtu hushindwa kupata usingizi au kuwa na usingizi wa mang’amung’amu. Kwa kawaida mtu mzima anatakiwa kupata usingizi kati ya masaa 7-8 wakati wa usiku. Tatizo hili huenda sambamba na kutokuwepo kwa ufanisi wa tezi iitwayo pineal gland ambayo huwa na kazi kuu katika kutoa kichocheo kiitwacho…