KISUKARI

MADHARA YA KISUKARI

Kisukari ni ugonjwa hatari sana ambao vifo vyake vyaweza kuzidi hata vya ukimwi. Kisukari huanza taratibu na hufikia sehemu ugonjwa huu huanza kuonyesha ishara ya hatari kabisa.

Mgonjwa anapofikia hatua hiyo basi maisha yake hujawa na wasiwasi. Hata hivyo imekuwa vigumu sana mara mgonjwa anapofikia sehemu hii kupona na kurudia hali yake ya kawaida.

Uwepo wa vidonda sugu sehemu za pembeni mwa mwili hasa miguuni (Diabetic foot)

Hali hii hufikia pale mgonjwa anaposhindwa kudhibiti kiwango cha sukari mwilini. Sehemu zinazopata msuguano mkubwa ndizo huathirika kwa kiasi kikubwa sana.

Mara tu vidonda  vinapotokea huwa ni ngumu sana kuviponesha kwani huchimba hadi kwenye mifupa.

Wengi wanaofikia hatua hii huwalazimu kupoteza sehemu zao za mwili kwa kukatwa ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi sehemu zingine (Septicemia)

Kutopona kwa vidonda hivi ni kutokana na mzunguko mbovu wa damu sehemu hizo na mfumo wa neva kuathiriwa.

Ili kuzuia hali hiyo kama wewe una tatizo hilo hakikisha sukari yako haizidi kiwango cha kawaida, kwa kufuata lishe bora na dawa.

+255652759322 Ni katika dondoo za afya.

Zuia kisukari ni hatari

image

image

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s