KINGA YA MWILI

JE KINGA YAKO YA MWILI IKO CHINI?

Kinga ndiye mlinzi wa miili yetu dhidi ya magonjwa. Kwa kawaida binadamu huzaliwa na kinga yake ya mwili ambayo huimalika kadiri anavyokua.

Kinga ya mwili hupimwa kwa kuangalia CD4 katika mwili. Na kiwango cha kawaida cha CD4 katika mwili ni kati ya 600-1500cells/mm3 ikitokea zikawa chini ya 600 mtu huyu huwa na upungufu wa kinga mwilini hivyo hupaswa kuangalia kinga ya mwili.

Watu wengi hawana utaratibu wa kupima CD4 zao hivyo hawawezi kuwa na uhakika wa miili yao.

Virusi hushambulia sana CD4 na ndiyo maana waathirika wa UKIMWI huangaliwa CD4 zao ili kujua kama wanakidhi mashariti ya kuanzishiwa dawa.

Hata hivyo mtu anaweza kujigundua kuwa kinga yaiko chini kwakwadapo atapata magonjwa ya mara kwa mara, hapo humbidi kufanya uchunguzi zaidi.

Mimea ifuatayo ina kazi muhimu katika kuimarisha kinga ya mwili.

1.Rehmannia
Huu ni mmea ambao kazi yake kuu ni kuimarisha uzalishaji wa chembe mama za za seli nyeupe ambazo kwa kiasi kikubwa ni kuimarisha kinga ya mwili,
Kuongeza utendaji kazi wa chembechembe nyeupe za damu.

Kuzuia ukuaji ovyo wa chembechembe ambazo husabibisha Saratani.

Spica prunellae

Hii ina kazi kubwa ya kuzuia gonerrhea na pia bacteria waliojenga usugu.

Mimea mingine ni Baishao, Chaihu, Gancao, cordyceps, Angelica, na Chenpi, vyote huimarisha kinga za mwili na kuzuia magonjwa.

JE AKINA NANI WANANUFAIKA NA MIMEA HIYO.

1.Watu walio na upungufu wa CD4
2 Wenye kinga ya chini

3. Watu wanaougua magonjwa ya upungufu wa kinga mwilini, UKIMWI

Mimea hiyo imejumuishwa kwa pamoja kutengeneza vidonge ambavyo humezwa kwa lengo la kuimarisha kinga ya mwili kabla ya magonjwa nyemelezi kuanza.

Unameza vidonge 3 mara tatu kwa siku.

Kwa ushauri tumia +255652759322 whatsapp au imo

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s