KUELEKEA UKOMO WA HEDHI (PERIMENOPAUSE)

Ukomo wa hedhi kwa mwanamke ni kipindi ambacho vichocheo vya uzazi hupungua kiasi kwamba hushindwa kufanya mwendelezo wa hedhi kwa mwanamke.

Kabla ya kipindi hiki mwanamke hupitia katika hali ambazo huonekana kuwa na matatizo kiafya.

Kabla ya  kufikia ukomo wa hedhi mwanamke huanza kwa kuonyesha viashiria vifuatavyo.
1.Hedhi isiyo na muda maalumu, yaani haieleweki.

2.Uke kuwa mkavu

3. Kutoka na jasho wakati wa usiku

4. Matatizo ya usingizi

5.Kuongezeka uzito

6. Ngozi kuwa mkavu

7. Hali ya kuisi kama vichomi.
Viashiria hivyo huonesha dhahiri kuwa mtu huyu anaenda kupata hiyo hali na kutakiwa kuwa makini.

Sababu

Hali hii husababishwa na mambo mengi.
1. Kushuka kwa vichocheo vya uzazi.
Kati ya miaka 30 na 40 wanawake wengi huwa katika hali ya kupata viashiria hivyo.
Hapa mwanamke hutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, au wakati mwingine yaweza kuwa kidogo.
2.Tiba ya cancer kwa dawa na mionzi

Baadhi ya dawa hizo huwa na vichocheo ambavyo huvuruga mfumo mzima.

3.Ovari kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi.

MADHARA AMBAYO YAWEZA KUTOKEA

1. Magonjwa ya moyo, kutokana na kupungua kwa oestrogen
2. Mifupa kuwa laini
3 Kushindwa kuzuia mkojo
4.Kukosa hamu ya tendo (libido)

Katika kuondoa matatizo, zipo njia za haraka
Pengine na wewe unapata hayo matatizo tufikie

Kwa ushauri
+2556759322

 

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s