RUDISHA HESHIMA NDANI YA NDOA.

DAWA ASILIA KWA MATIBABU YA NGUVU ZA KIUME.

Hii ni dawa inayotokana na viumbe kama samaki na mimea.

Sehemu kubwa ya dawa hii imeundwa na aina ya samaki aitwaye SYNGNATHUS.
Huyu ni aina ya samaki anayepatikana baharini .
Samaki huyu huvuliwa na kukaushwa vizuri hadi kufikia kutengeneza unga.

Huyu ni samaki ambaye ameonekana kuwa na matokeo mazuri katika kutibu matatizo ya figo na nguvu za kiume.

Unga wa samaki huyu huchanganywa na aina tatu ya mimea ambayo hupatikana kwa wingi nchini Thailand.

image

image

image

1. Epimedium.
Mmea huu hupendwa sana kuliwa na mbuzi na uligunduliwa na mchungaji wa mbuzi, kwani mara tu mbuzi walipokula mmea huu walipata hamu kubwa ya tendo la ndoa.

2. Morinda officinalis.
Huu ni mmea ambao una kazi zifuatazo.
-Kuongeza nguvu za kiume
-Kuongeza idadi ya mbegu za kiume
-Tatizo la kufika kileleni mapema huondoa.
-Uume kutosimama vizuri.

3. Butea superba
Huu nao ni mmea wa maajabu ambao hupatikana katika misitu mikubwa nchini Thailand.
Kazi yake kubwa ni kuongeza nguvu za kiume pasipo kuleta madhara kama ilivyo kwa dawa zenye kemikali.

Muunganiko wa vitu hivi umefanya kutengenezwa kwa dawa ya asili kabisa ambayo hutibu tatizo la mbegu za kiume, tofauti na ilivyo kwa dawa zingine ambazo huondoa tatizo kwa muda tu.

KAZI YA DAWA HII KWA UJUMLA
1.Huimarisha utendaji kazi wa figo.
2. Huimarisha mzunguko wa damu katika sehemu mbalimbali za mwili hivyo kutibu tatizo la nguvu za kiume.
3. Inatibu kabisa tatizo la nguvu za kiume tofauti na dawa zingine.
4. Huongeza hamu ya tendo hivyo kuongeza furaha ndani ya ndoa.
5.Huongeza uzalishaji na ukomavu pamoja na kasi ya mbegu za kiume kama ilivyo kwa samaki aina ya Syngnathus.

Dawa hii iko katika mfumo wa vidonge ambapo dozi moja ina vidonge vinne ambapo mtumiaji atameza kimoja baada ya masaa matatu ya chakula cha usiku kila siku.
Kidonge kimoja kina 500mg.

Utaipata dawa hii popote  ulipo nje na ndani ya  Tanzania.

UNAWEZA KUTUMIA +255652759322 whatsap ama kupiga.
Pia ushauri kuhusu afya ya uzazi utapata bure.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s