MTI WA GINKGO NA UMAHIRI WAKE JUU YA MAGONJWA

MTI WA GINKGO.

image

image

image

Huu ni mti uliopatikana zaidi ya miaka 300 iliyopita.

Mti huu haushambuliwi na magonjwa ya aina yoyote ile.
Kutokana na hili hii umepewa jina la MTI MTAKATIFU WA MATUNDA(Holy fruit tree) katika jamii za mwanzo nchini China.

Hutumika katika kutengenezea madawa, vipodozi, chakula na bidhaa zingine na kuleta matokeo makubwa.

Baada ya mti huu kuonekana kuwa na kazi nyingi kiafya, mashamba maalumu kaskazini mwa China yalianzishwa chini ya usimamizi wa makampuni.

Aina ginkgo imepanda katika eneo ambalo halina taka, lengo ni kupata zao ambalo halina viambata sumu toka viwandani.

KAZI ZA MTI AINA YA GINKGO KIAFYA.
1. Hupunguza matumizi ya oksijeni na kuongeza damu inayofika kwenye moyo na ubongo.

2.Kuongeza ufanisi wa seli za ubongo.

3.Hupunguza uzito wa damu.

4.Huimarisha mfumo wa hewa, mapafu hivyo kuzuia kuathirika kwa mapafu,  huzuia aleji na huleta  nafuu kwa mgonjwa wa pumu.

5. Inapunguza fati, mafuta mabaya ( Cholesterol) na kuongeza ufanisi wa Nitric Oxide kwenye damu.

6.Huimarisha kinga na kuondoa sumu mwilini.

NI NZURI KWA MATATIZO YATOKANAYO NA MOYO.

Nani anafaa kitumia dawa itokanayo na mti huu?
1. Mwenye matatizo sugu ya moyo.
2. Magonjwa ya ubongo
3. Kukakamaa kwa mishipa kichwani.
4. Kuumwa macho muda mrefu, kichwa cha mara kwa mara
5. Matatizo ya masikio, kusikia kengele masikioni.

Kutokana na matumizi yake kuwa mengi kiafya katika zama hizi za sayansi na tekinolojia.

Hali hii imechangia mmea huu kuwekwa katika mfumo wa vidonge ili uweze kutatua changamoto za kiafya ulimwenguni kote.

Kila kidonge kina uzito wa 350mg, ambapo pack moja ina vidonge 96.

Hivyo kwa ushauri na namna ya kuipata tumia.
+255652759322

Popote utaipata kama utaona inakufaa.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s