MMEA WA GINSENG NA UFANISI WAKE DHIDI YA MAGONJWA

image

image

Ginseng ni mmea ambao umepewa jina la mfalme wa tiba za asili (King of herbs).

Kitendo cha mmea huu kupewa jina hili kumetokana na ufanisi wake katika kutibu maradhi mbalimbali kwa usahihi.

Mashamba makubwa ya mmea huu hupatika barani Asia, na dawa zake zimeonekana kwa wingi katika masoko  ya Amerika, kwani huchukua 15-20% ya dawa zote asilia.

Mmea wa ginseng umefanyiwa tafiti na jopo la wataalamu ulimwenguni na kupatikana uthibitisho juu ya utendaji kazi wake.

Ginseng ni mmea unaoundwa na RG3 na RH2.

Uwepo wa RG3 na RH2 ndiyo huufanya mmea huu uitwe mfalme wa tiba asilia (the king  of  herbs).

KAZI YA RG3
1.Kuzuia saratani na kusambaa kwake sehemu mbalimbali za  mwili ( anti-metastasis).
Saratani ikifanikiwa kusambaa mwilini hupelekea kifo kutokana na kuathiri mifumo mingi mwilini.

2. Kutibu kabisa saratani ambayo ipo katika hatua ya mapema.

3. Kupunguza makali ya dawa na mionzi kwa matibabu ya saratani, kwani matibabu haya huleta madhara mengine mwilini.

3.Huimarisha kinga kwa kuongeza ufanisi na kiasi kingi cha  seli saidizi (T-helper  cells -CD4) pamoja na  seli asili  za kuangamiza maambukizi (Natural killer cells-CD8).

KAZI ZA RH2

1.Kuzuia ukuaji wa vimbe mbalimbali katika mwili.
2.Huongeza kinga ya mwili dhidi ya saratani na magonjwa mengine
3.Huondoa sumu na kupunguza maumivu kwa kiasi kikubwa kwa wanaotibiwa kwa mionzi na  dawa za saratani (chemotherapy)
4. Huufanya mwili kuwa wenye nguvu na kuondoa uvimbe.

RH2 na RG3 kutoka kwenye mmea wa ginseng vimeunganishwa kwa pamoja kutengeneza kidonge kimoja chenye uzito wa 300mg.

Muunganiko huu wa kidonge (300mg)hiki una kazi zifuatazo.
1. Kutibu saratani ya hatua ya awali na kupona kabsa.
Hii huzuia kukua na kusambaa kwa saratani kwenda  sehemu zingine( metastasis)

2.Humsaidia mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji kupona mapema.

3. Kupunguza madhara yatokanayo na dawa za saratani (chemotherapy) na mionzi.

4. Inatibu aina mbalimbali za uvimbe, katika mwili kama vile kwenye kizazi cha mwanamke.

5.Kuongeza kinga ya mwili pia  kuondoa uchovu.

Chupa moja ina jumla ya vidonge 30 kila kidonge kina 300mg.
Hutumika kwa mwezi mmoja.

DAWA HII UTAIPATA POPOTE ULIPO TANZANIA NA NJE YA  TANZANIA.
Waweza kutumia  namba +255652759322 kwa kupiga au whatsapps.
Pia ushauri ni bure.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s