GANODERMA SPORE

INAWEZEKANA NI MIONGONI WA WANAOSUMBULIWA NA MATATIZO SUGU YA KIAFYA.

GANODERMA SPORES

Hizi ni mbegu za uyoga  mkongwe ambao umezingatiwa kwa matumizi yake kwa ajili ya matibabu.

Ubora wake umefurahiwa na dawa za asili nchini china ( Traditional Chinese Medicine, TCM) tangu miaka 2000 iliyopita na iliweza kujulikana kama dawa ya watu wenye maisha bora.

Badae imeweza kuwafikia watu wengi kama dawa itokanayo na jamii ya kuvu ambayo hufanana na mimea.

Tunda la uyoga huu hukua na kuimarika baada ya miezi 5-7 ili kuweza kutoa unga (Ganoderma spore) kupitia vitundu vilivyopo chini ya tunda.

Unga huu umebeba virutubisho vya aina mbalimbali ikiwemo polysaccharide, triterpine, nucleoside na germanium.
Muunganiko wa vitu hivyo huimarisha utendaji kazi wa unga huo utokanao na uyoga.

Mbali na vitu hivyo pia kuna amino acids(protein), sterols, alkaloids, vitamini na madini zaidi ya 13 ambayo hufanya dawa hii ya asili kuwa nyumba muhimu ya virutubisho.

UYOGA HUU UMEPEWA JINA LA  “ZAWADI YA ASILI KWA AFYA YA BINADAMU”

Umepewa jina hili kutokana na uwezo wake wa kutibu magonjwa mengi na sugu pia kuongeza kinga dhidi ya maradhi katika mwili wa binadamu.

HIZI NDIZO KAZI ZAKE

1.Huimarisha kinga ya mwili kwa kuongeza CD4, katika kupambana na bacteria, virusi, pia uwepo wa polysaccharide huongeza uwezo wa kinga ya mwili.

2. Hurudisha afya ya mwili

3. Ina uwezo mkubwa katika kuzuia vimbe mbalimbali  ikiwemo SARATANI na hii imeonekana katika ufanisi wake.

    -Ina uwezo mkubwa katika kuzuia saratani kusambaa mwilini endapo mgonjwa atawahi matibabu.
     -Ina punguza madhara yatokanayo na matibabu ya saratani kama vile ,kukosa hamu ya kula, kupungua kwa kinga ya mwili.

4. Huimarisha utoaji taka mwilini kutokana na uwepo wa triterpines.

5. Hushusha shinikizo la juu la damu na kuimarisha afya ya moyo kwa wakati mmoja.

6.Inaondoa tatizo la aleji kutokana na uwepo wa ganoderic acid ambayo hupunguza uzalishaji wa histamine ambayo ni  chanzo kikuu cha aleji.

7. Hutibu matatizo katika mfumo wa hewa ikiwemo pumu.

8.Kuna watu huamka wakiwa wamechoka sana, dawa hii ni suluhisho kwa tatizo hilo.

9. Huondoa mikunjo ya ajabu katika ngozi na hivyo kuimarisha ngozi.

10. Husawazisha kiwango cha sukari kwenye damu, hivyo inawafaa wenye kisukari pia.

KUTOKANA NA KAZI HIZO NDIYO MAANA IKAITWA NI ZAWADI YA ASILI KATIKA AFYA YA MWANADAMU.

Dawa hii imetengenezwa katika mfumo wa vidonge, ambapo kidonge kimoja kina mg 300, na kopo moja lina jumla ya vidonge 60, ambavyo huweza kutumika hadi wiki mbili.

ENDAPO UNASUMBULIWA NA MATATIZO SUGU, TUMIA AINA HII YA DAWA AMBAYO NI ASILI NA HAINA KEMIKALI.
KWA MSAADA TUMIA 0758986658.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s