ZIFAHAMU KAZI KUMI NA MBILI ZA UYOGA

ZIFAHAMU KAZI KUMI NA MBILI ZA UYOGA NDANI YA MWILI WA BINADAMU.

Uyoga umekuwa ukitumiwa kwa miaka takribani 200 iliyopita katika kutibu magonjwa mbalimbali ya mwanadamu.

Watu wengi hawaupendi na hawatumii uyoga mara kwa mara.
Ndiyo maana tunazidi kushuhudia magonjwa ya ajabu ambayo yanapelekea vifo vingi sana.
Kupitia uyoga, hasa uyoga mwekundu, magonjwa kama hayo yanaweza kutoweka kabisa endapo tu watu watachukua hatua za haraka.

HIZI NI FAIDA KUMI NA MOJA ZA UYOGA MWEKUNDU.
1.Huukinga mwili dhidi ya virusi
2.Hukinga ini lisipatwe na matatizo.
3.Huondoa sumu mwilini
4.Hushusha shinikizo la juu la damu
5.Huzibua mishipa ya damu kutokana na kuganda kwa damu
6.Inazuia vimbe za aina zote
7.Inazuia hali ya aleji
8.Inazuia cancer
9.Husawazisha kiwango cha sukari mwilini
10.Husawazisha kiwango cha vichochezi mwilini (hormones)
11.Huzuia maambukizi ya bakteria.
12.Huondoa cholesterol

Ukungu upatikanao katika uyoga una kazi nyingi sana kama ilivyotajwa hapo juu.
Kutokana na uhaba wake timu ya wataalamu wa mimea wameweza kuuchuja vizuri na kuuweka katika mfumo wa vidonge, hivyo kuwa rahisi kwa mtu kuupata.
Mtu atumiapo vidonge hivi huweza kutatua matatizo mengi ya kiafya, na kuongeza kinga ya mwili hasa kwa wenye kisukari na wanaougua maradhi ya ukimwi.

Kwa ushauri tumia +255652759322

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s