UHUSIANO KATI YA MATATIZO YA FIGO NA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU(RELATIONSHIP BETWEEN KIDNEY PROBLEMS AND HYPERTENSION).

Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney failure)
Figo ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu na pia viumbe wengine. Hivyo kiungo hiki kikifikia ukomo wa kufanya kazi, maisha huwa hatiani kwani kifo huwa karibu sana.

Kushindwa kwa figo katika utendaji wake wa kazi huangukia katika makundi makuu mawili, ambayo ni,

1.Figo kushindwa ghafla kufanya kazi (acute renal failure)
2.Tatizo linaloanza kidogo kidogo hatimaye kuwa sugu ( chronic renal failure)

Makundi hayo mawili husababishwa na mambo kadha wa kadha ambayo ni dhahiri humzunguka mwanadamu.

Ndugu msomaji wa makala hii zifahamu sababu zifuatazo ambazo kwa kiasi kikubwa huchangia katika matatizo ya figo.
1.Kushuka kwa ujazo wa mzunguko mwilini.
Ndugu msomaji ninaposema ujazo namaanisha vitu kama maji, damu, madini chumvi ama electrolytes, vyote hivi vikipungua basi ujazo nao hushuka hivyo viungo muhimu kama figo hukosa vitu muhimu hatimaye kushindwa kazi.

2.Matatizo ya moyo.
Hii huweza kuchangiwa na shinikizo la juumoyo (hypertension)
Kumbuka kuwa kama tatizo la hypertension halitapatiwa ufumbuzi mapema husababisha moyo kushindwa kusukuma damu kuelekea sehemu mbali mbali za mwili, figo huathiriwa kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo kinachowaua wenye hypertension ni kutokana na uharibifu wa viungo muhimu katika mwili ambapo figo ni mhanga nambari moja.

Hivyo usipuuze hypertension, itafutie ufumbuzi kwa gharama zozote.

3.Kutanuka kwa mishipa ya damu.
Hii husababishwa na mambo mengi ikiwemo dawa za hypertension za hospitali, maambukizi, aleji, na madawa mengine mengi.

4. Kuziba kwa njia ya kutolea mkojo.
Hii hutokana na vibonge(stones) kwenye sehemu ya figo, tezi dume n.k

5.Ajali zinazohusisha sehemu ya figo.

6. Sumu nyingi
Fahamu kuwa damu yote inayozunguka mwilini lazima ipitie kwenye figo, endapo kutakuwa na sumu nyingi figo nayo hupata kazi kubwa, hivyo sumu nyingi hubakia kwenye figo.
Sumu hii hutokana na vitu tunavyovitumia katika mazingira yetu.

Vitu kama vyakula vya viwandani, kuvuta hewa chafu, kutumia dawa zenye kemikali, vipodozi vyetu ie perfumes n.k,

Kuna watu huwa wanapata maumivu mara kwa mara na kukimbilia dawa za kutuliza maumivu, ndugu unajiua polepole.

Ndugu hizo ni sababu zinazopelekea figo kushindwa kazi.

Matatizo ya figo na hypertension, huenda sambamba.

Kumbuka endapo figo itashindwa kubalansi madini chumvi kwa kushindwa kutoa sodium mtu huyu hupata hypertension.

Sababu ni kwamba, sodium ikiongezeka kwenye damu huweza kunyonya majimaji mengi na hatimaye kuingia kwenye damu.
Hapa ujazo wa damu unaongezeka, mishipa nayo huelemewa ndipo mtu hupata maumivu makali ya kichwa, mishipa ya damu kupasuka, na pengine damu huweza kutoka hasa puani, pia machoni.

Hapo mtu huweza kupata hypertension.

Hebu tuone dalili zitokanazo na matatizo ya figo.
Kuna dalili nyingi mno kwa sababu tatizo la figo huathiri kila mfumo mwilini.

1. Kuchoka mwili
2.Kuishiwa nguvu, kichefuchefu, kutapika, kuharisha
3.Kutoa harufu mdomoni ya mkojo
4. Kuumwa kichwa, kupoteza fahamu n.k

image

Tunapozungumzia tatizo lazima tuangalie njia za kutibu ama kujikinga.

Kama wewe uko kwenye shida ya figo, basi
Tumia dawa inayotokana na mimea asilia. Mimea hii inapatikana nchini Thailand, dawa ina vidonge vinne tu, Ocean plus capsules

Hii pia huwasaidia wanaume katika mfumo wa kizazi, kama nguvu za kiume(impotence people), wenye mbegu kidogo, wanaowahi kufika kileleni.
Mtu yeyote anatumia dawa ama kirutubisho hiki.

Pia kutokana na mazingira yetu huwa tunaingiza sumu nyingi sana mwilini, kumbuka utaingiza sumu kwa sh 200 au  1000, lakini usipoangalia utaitoa kwa mamilioni na bado usifanikiwe.

Kuwa na desturi ya kutoa sumu mwilini kwa kutumia virutubisho vya asili( Natural supplements)

Aloe softgel capsules

, hii iko katika mfumo wa tembe, ni kama vidonge lakini ni laini, imekuwa na matokeo mazuri katika kutoa sumu, kulainisha haja, kuongeza hamu ya chakula.
Hii ina jumla ya vidonge 60,
Mtu yeyote anatumia kwani pia inakinga saratani, inazuia maambukizi ya bakteria.

Usisubiri hadi upatwe na matatizo ndipo uanze tiba, kumbuka kinga ni bora kuliko tiba.

Kwa ushauri, kupata dawa zetu, wasiliana nami kupitia,

0652759322 au email ndatalapaul@gmail.com

Posted from WordPress for Android

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s