MAAMBUKIZI KWA WATOTO WACHANGA( NEWBORN INFECTIONS)

HEBU LEO TUANGALIE AFYA ZA WATOTO WETU.

Mtoto anahitaji uangalizi wa hali ya juu kiafya.

Kumbuka mtoto mdogo hawezi kuelezea matatizo ya kiafya yanayompata.

Mtoto huweza kutumia ishara mbalimbali apatwapo na tatizo, ikiwemo kulia.

Ni jukumu la mzazi au mlezi kuzitambua ishara hizo ili aweze kumsaidia mtoto.

Watoto huwa wako hatarini kupata maambukuzi ya bacteria na virusi ambao ni hatari sana kwa watoto wetu.

Watoto hupatwa sana na maambukizi katika njia ya mkojo yaani UTIs(Urinary Tract Infections), ambayo huleta homa zisizo na kikomo kwa watoto.

Matatizo haya yamekuwa yakichangiwa na kukosekana kwa umakini baina ya walezi au waangalizi wa watoto wetu.

Pia diapers tunazozitumia wakati mwingine zimekuwa na shida kiasi cha kupelekea bacteria kuzaliana, kumbuka bacteria huweza kuzaliana kwa haraka sana na hivyo huleta maambukizi.

Unapokawia kumbadilishia mtoto diaper, ndipo unavyodhidi kumweka katika hatari ya kupata maambukizi.

LEO NATAKA UANGALIE AINA HII YA DIAPERS AMA PAMPERS
Nepbaby diapers hii imetengenezwa kwa umakini wa kumkinga mtoto

1.Ina aloe katikati ambayo husaidia katika kuondoa maambukizi ya bacteria
2. Imetengenezwa na material laini ambayo humfanya mtoto asiwe na shida,

3. Ina uwezo mkubwa wa kufyonza mkojo

4. Ina kiashiria maalumu ambacho huonyesha kama diaper imejaa mkojo.
Hii iko tofauti na zingine, na humrahisishia mlezi kumbadilishia mtoto kwa kuangalia hicho kiashiria.

TUCHUKUE HATUA KUWAOKOA WATOTO WETU KWA KUWAJALI.
Maambukizi ya mara kwa mara huweza kuwaharibu watoto kiafya mpaka wanapokuwa wakubwa bado huwa wameathirika kiafya.

Itafute popote ukipata shida kuipata inbox Paul Ndatala on Facebook au
tumia 0652759322 utakuwa umemnusuru mtoto wako.

UTAZIPATA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA.
GET YOUR BEST NEPBABY DIAPERS FOR YOUR BABY.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s