KIRUTUBISHO KIZURI KINACHOTOA SUMU MWILINI.

image

Mmea wa aloe vera unajulikana sana ulimwenguni kutokana na kazi zake katika mwili wa binadamu.

Zifuatazo ni baadhi ya kazi zake
1.Hutumika katika kuifanya ngozi kuwa nyororo na ang’anyu ndiyo maana hutumiws sana katika vipodozi.

2.Hukinga ngozi dhidi ya mionzi ya jua, hivyo huzuia saratani.

3.Huua fangasi, bakteria wanaosababisha maambukizi mwilini.

4. Huondoa mikunjo kwenye ngozi na kukufanya uonekane kijana, hivyo hupunguza uzee.(freckles)

5.Huongeza kinga ya mwili(boosts immunity)

6. Huondoa sumu mwilini kwa kuimarisha utendaji kazi wa ini.(enhances liver function, hence clear toxins)

7. Husaidia kupona haraka kwa vidonda vya tumbo.(peptic ulcers)

8. Huondoa mlundikano wa mafuta mwilini ambayo huleta matatizo ya moyo. (Clear bad cholesterol)

9. Inaondoa tatizo la kukosa ama kuwa na choo kigumu.(Aleviate constipation)

Kuna takribani aina 200 za aloe vera, aina nyingine ni sumu katika mwili wa binadamu.
Aina moja kati ya 200 ndiyo hufanya kazi hizo.

Watu hupenda kuparamia tu ilimradi aloe vera. Wengi huishia kwenye matatizo.

Pata aloe vera iliyo katika mfumo wa vidonge, hii ni pure aloe vera iliyoandaliwa na kuchujwa vizuri.

Kopo moja lina vidonge 60 ambavyo utameza vidonge 2 kutwa mara mbili.

Aloe vera hii imevunwa kutoka mashamba maalum yaliyoandaliwa ya aloe vera

Jipatie kirutubisho dawa hiki kupitia 0652759322.

Watu wangu wa mikoani siku hizi nimeamua kutumia mfumo wa haraka tofauti na ilivyo kuwa awali baada ya kuwa nimewasikiliza.

Kwa walio Dar es Salaam utapata muda na wakati utakapokuwa umehitaji.

KUWA NA UTARATIBU WA KUONDOA SUMU MWILINI, KWANI WENGI WETU KUTOKANA NA VYAKULA VYETU HUWA TUNAJAZA SUMU MWILINI, NA NDICHO CHANZO CHA  SARATANI NA MENGINE.

image

Pia napatikana facebook kwa Paul Ndatala au 0652759322

ITHAMINI AFYA YAKO.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s