NGUVU ZA KIUME

MAMBO MAKUU MATANO TATIZO LA NGUVU ZA KIUME. Hii ni hali inayoathiri uwezo wa mwanamume kudindisha ama kusimamisha uume wake. Kwa hali ya leo hili limekuwa gumzo kwa wanaume wengi ambapo huwafanya kutofurahia maisha ya ndoa zao. Leo ningependa ndugu msomaji wa makala zangu ujue sababu kuu tano zinazopelekea ukosefu wa nguvu za kiume. Hizi…

UJUMBE MUHIMU KATIKA AFYA YA UZAZI

Katika afya ya uzazi, tunajikita kuangalia shida mbalimbali zitokanazo na uzazi kwa mwanamke na mwanamume. Kwa asilimia kubwa wanawake ndiyo wanaonekana kuwa wahanga huku wakitafuta suluhu ili kunusuru ndoa zao. Si kwamba wanaume wao hawana matatizo la hasha, wanawake ndiyo watu wa kwanza kutupiwa lawama na wao hujitahidi kutafuta kila namna ili wanusuru ndoa zao….

MATATIZO YA OVARI

Polycystic Overian Syndrome (PCOS) Inakadiriwa asilimia nne hadi sita ya wanawake wa umri wa kuzaa wana ugonjwa wa ovari (PCOS). PCOS ni ni tatizo la vichocheo hasa kwa wanawake katiaka umri wa kuzaa, ambapo mwanamke huweza kuwa na kupitiliza kwa muda wa hedhi, au kuzidi kwa kichocheo cha kiume(androgen). Kutokana na hali hii ovari huweza…

KUELEKEA UKOMO WA HEDHI(PERIMENAPAUSE)

Je, unajua nini kuelekea ukomo wa hedhi? Hii ni hatua inayohusisha mabadiliko ya mwili kuingia katika ukomo wa hedhi. Wanawake hukumbana na hali hii katika umri tofauti wakati mwingine kwenye umri wa miaka 40. Hata hivyo baadhi pia hukumbana na hali hii katika kipindi cha umri wa miaka 30. Hapa sababu kubwa ni mabadiliko ya…

MATATIZO YATOKANAYO NA UJAUZITO.

YAFAHAMU MATATIZO HAYA Ujauzito huwa ni kipindi maalumu cha wastani wa majuma 40. Katika kipindi hiki mambo ama matatizo mengi huweza kujitokeza. Matatizo haya yaweza kuleta hali ambayo si njema kwa mjamzito. Hivyo ni vyema kuyajua na kuyatafutia ufumbuzi. Licha ya kuwepo kwa elimu zitolewazo katika kipindi cha mahudhurio bado kuna haja ya kutafuta njia…

MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE

Mfumo wa uzazi wa mwanamke ( Female reproductive health) Katika mfumo wa uzazi wa mwanamke hujumuisha sehemu ya nje na ndani ya kiuno cha mwanamke mwanamke(external and internal pelvic). Pia vitu vingine vinavyoweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanamke ni pamoja na tezi ya hypothalamus na Pituitari ambavyo kwa pamoja huratibu utendaji kazi wa mfumo…

PURCHASE HEALTH PRODUCTS ONLINE

Here you can join and purchase at membership price. This involves a series of health products that are effective. It’s Success Time! 1. http://ndatalapaul.savingshighway.com 2. ¬†Cardiovascular disease are being treated using the products available in the link below. Click and join  then purchase at membership price or you can purchase without joining. Heart Health, High…

KISUKARI

MADHARA YA KISUKARI Kisukari ni ugonjwa hatari sana ambao vifo vyake vyaweza kuzidi hata vya ukimwi. Kisukari huanza taratibu na hufikia sehemu ugonjwa huu huanza kuonyesha ishara ya hatari kabisa. Mgonjwa anapofikia hatua hiyo basi maisha yake hujawa na wasiwasi. Hata hivyo imekuwa vigumu sana mara mgonjwa anapofikia sehemu hii kupona na kurudia hali yake…

DANSHEN PLUS CAPSULE

A brief about Dan Shen Plus Capsule After clinical application for eleven years and tremendous amount of scientific experiments, Dan Shen Plus, a precious modern Traditional Chinese Medicine (TCM), is proved to be capable of remarkable effects on protecting normal functions of blood vessel endothelium. It is also proved that long-term used of Danshen Plus…

AFYA YA KIZAZI

NI MUHIMU KUFAHAMU. Matatizo mengi ya uzazi huwakumba wanawake, na asilimia chache kwa wanaume. Hata hivyo wanaume wengi hawana utaratibu wa kupima na kujua hali ya vizazi vyao hivyo lawama hutupiwa wanawake. Ifahamike kuwa wenza wote wananafasi ya kuchangia kiasi cha 50% kila mmoja juu ya kutopata mtoto, kutungwa kwa mimba. Mwanamke hujitambua mapema pale…